Paroles de la chanson Intro par
Yanaanza na shaukuKinachofua ni furaha isiyo na kifani
Baada ya kujuana yanakuja mazoea
Mazoea yakizidi yanasababisha kutoelewana
Na pengine huleta ugomvi
Na mara nyingi ugomvi huweza kusababisha uadui
Mapenzi, this is the love album