Paroles de la chanson Dilated par Wakadinali

Chanson manquante pour "Wakadinali" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Dilated"

Paroles de la chanson Dilated par Wakadinali

Mikasa leo mabunduki ndio zilikuwa zinafanya kazi
Pupupupu, pu pu pu pu, si watu watakufa 
Mimi mtu kama mimi sina bunduki
Sina bunduki, na hivyo DCIO 
GK wakuje watusaidie

Si hukam na mamacho dilated
Ofcouse utaitana
Karao alihate mabro warelate
Ni mapro marijuana

Nguna ana fake accent
Lakini amejaribu
Ka uko na chest pains 
Wacha tukujibu tunatibu wivu

Si hukam na mamacho dilated
Ofcouse utaitana
Karao alihate mabro warelate
Ni mapro marijuana

Nguna ana fake accent
Lakini amejaribu
Ka uko na chest pains 
Wacha tukujibu tunatibu wivu

--
--

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment