Paroles de la chanson Yesu Ana par Wahu

Chanson manquante pour "Wahu" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Yesu Ana"

Paroles de la chanson Yesu Ana par Wahu

Yesu aki come mi na dunda
Mziki wa Yesu mi na tunga
Iwe praise ama worship ama rumba
Tunga, Tunga

Shetani akicome ni na dunga 
Na mkuki wa Yesu mi na dunga 
Nimuone aki go low...
Aaa aaa go low

Yesu ana gonga
Yesu anagonga
Mfungulie mlango ana gonga 
Yesu ana gonga 

Yesu ana bonga
Yesu anabonga
Fungua moyo wako ana bonga 
Yesu ana bonga 

Zaliwa, zaliwa
Ndani ya Yesu nimezaliwa
Kuwa hapa leo ni majaliwa
Majaliwa

Nitalia, nitalia, 
Ukiniacha Yesu mi nitalia 
Ukiniacha Yesu mi nitaliza
Oooh nitalia

Sitaki kuwa solo shetani ana bore 
Si ni Yesu na follow 
Na shetani ana go low(Low low low)
Na shetani ana go low(Low low low)

Yesu ana gonga
Yesu anagonga
Mfungulie mlango ana gonga 
Yesu ana gonga 

Yesu ana bonga
Yesu anabonga
Fungua moyo wako ana bonga 
Yesu ana bonga 

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)