Paroles de la chanson Umenipata par Lomodo

Chanson manquante pour "Lomodo" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Umenipata"

Paroles de la chanson Umenipata par Lomodo

Oooh baby, nionyeshe
Kipi unataka utapata
Ooh baby nionjeshe
Tamu kwa tamu inanata
Mwenzako kiparu paru chanipanda nataka nataka
(Nataka, nataka)
Penzi jini limenipanda la jini makata
(Makata makata)
Moyo wangu umejawa viraka (viraka)
Nawe ndio fundi wangu nitengenezee
Penzi langu mama lina mashaka (mashaka)
Nawe ndio chaguo langu usinipotezee
Kuchepuka naona shida kwingine nitake nini
Kwako nakula nashida (hii hii hii)

Umenipata, pata umenipata
Umenipata, pata umenipata
Umenipata, pata umenipata (unanipata baby)
Umenipata, pata umenipata (unanipata baby)

Na hata nikilia wanifuta machozi nakuona mkombozi
Dear sijiwezi, kinaniwasha kidudu penzi
Hutaki yale ya mtandao kuniita lomodo voice killer
Au yale ya video kucheza nusu uchi kama shaoira
Nikipenda napenda mazima, sijawahi kutendaga
Wanaokuja wanapima wanapima wananimwaga
Mie mnyonge ngonjwa wako nipe vidonge
Nishuke mabonde mwendo nyatu nyatu nyama na tonge
Mwenzako kiparu paru chanipanda nataka nataka
(Nataka, nataka)
Penzi jini limenipanda la jini makata
(Makata makata)
Moyo wangu umejawa viraka (viraka)
Nawe ndio fundi wangu nitengenezee
Penzi langu mama lina mashaka (mashaka)
Nawe ndio chaguo langu usinipotezee

Umenipata, pata umenipata (unanipata baby eh)
Umenipata, pata umenipata (nakupata unanipata)
Umenipata, pata umenipata (unanipata baby)
Umenipata, pata umenipata (unanipata baby)
Hii iih iii, iiyee eeh ( unakupata baby iye)
Ooh oooh ooh ( unakupata baby ah)
Unanipata baby

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment