Paroles de la chanson Tofauti par Darassa

Chanson manquante pour "Darassa" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Tofauti"

Paroles de la chanson Tofauti par Darassa

 Anatingisha sitigishiki
Nimeng'a ang ania siti
Hisia hazifichiki
Kipenda roho utakula hata nyama nbichi
Mapenzi yanashikaga ngagali
Mapenzi yana nguvu ya hatari
Moto wa kuotea mbali
Kwisha habari nimeshazima gari

Waloshika mabang wameingia mitini
Nakutana na madongo ya chini chini
Wanaulizana napagawa na nini
Sauti akiongea na mwendo wa kutembea
Siwezi hata kuelezea
Nimeona mengi kwake kuna utofauti
Sauti akiongea na mwendo wa kutembea
Siwezi hata kuelezea
Nimeona mengi kwake kuna utofauti

Kivuli changu ujanja wa kukikimbia ntaanzia wapi
Haya haya kumekucha aliye ulizia mambo yapo katikati
Utazua balaa unanipandisha kichaa
We mwana unananii za kushanga aa
Atakapotea majira na amevaa saa
Sio mchezo
Habari na maelezo

Waloshika mabango wameingia mitini
Nakutana na madongo ya chini chini
Wanaulizana napagawa na nini

Sauti akiongea na mwendo wa kutembea
Siwezi hata kuelezea
Nimeona mengi kwake kuna utofauti
Sauti akiongea na mwendo wa kutembea
Si wezi hata kuelezea
Nimeona mengi kwake kuna utofauti

Kivuli change ujanja wa kukikimbia ntaanzia wapi
Haya haya kumekucha
Aliye ulizia mambo yapo katikati

 

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)