Paroles de la chanson Blessing par Anjella

Chanson manquante pour "Anjella" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Blessing"

Paroles de la chanson Blessing par Anjella

Mmmh Anjellah
Isgilly

Mziki kwangu me ulikuwaga ndoto
na Sikuitimiza kwa kulala, Napitia nyingi changamoto yote Kuukimbia Ufukara
Kipindi Naungaunga kwenye Soko yan Nasongesha Miamala
Nikaona tu Nijiunge na Jeshi ilimradi Nami Niwe Imara aah
Jeshi lilifanya Nijipindee ilimradi tu na mimi niwe
Juu Plan nije kuwa Komando
Jide ama niwe Amiri Jeshi Mkuu, Yalipoanza Mambo ya
Gwaride hapo Nikanyosha Mikono juu
Kilichofanya Yanishinde ni Matatizo ya Miguu
Waliponiacha Macho Juu na Kuninyamazisha Mdomoo me
Ninatatizo la Miguu wao Wakaniunga Mkonoo

Ntakua Mchoyo wa Fadhira Kwenye Maisha yangu
Nikiacha Kushukuru Maana Amani ya Moyo wangu
Naomba Mungu Aniangazie Nuru
Na Nikisema Nilikopita Njia ilikua Mbaya Nitakua
Nakufuru huenda Mungu Wangu Alipanga Nipite ili nije
Kufaulu

I feel bless bless coz God have mercy
Hata kama ulichonacho mie sina mmh
I feel bless bless coz God have mercy

Me nilishafeli mara kadhaa na Maisha mbona Yangenishinda kama ningekataga tamaa eh
Acha nisonge mbele kwa hekima walosema watasimama nami wamevuta kiti wamekaa
Eh kuna muda unapitia simanzi, Usiku na mchana
Jitahidi kufanya kazi, Ipo siku utasimama
Me nimetokea uswazi, Uswahilini sana
Kwetu hakuna ugomvi, Ila watu wanapambanaa

Kuna muda mapenzi yanaweza kukutoa kwenye reli mana kuna Wapenzi
Wanapenda kukuona Unavyofeli
Na Tatizo la Mapenzi, Mapenzi yana Nguvu kwelikweli
Kwani we Hukusikia kuna Muwa huko Ulizamisha Meli eeh

Nitakua Mchoyo wa fadhira kwenye maisha yangu nikiacha kushukuru maana
Amani ya Moyo wangu naomba Mungu Aniangazie Nuru
Na Nikisema Nilikopita njia ilikua Mbaya Nitakua
Nakufuru Huenda Mungu wangu Alipanga nipite ili nije kufaulu

I feel bless bless coz God have mercy
Hata kama Ulichonacho mie sina mmh
I feel bless bless coz God have mercy

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment