Paroles de la chanson NENDA UKAPUMZIKE par Shomari Chryzo

Chanson manquante pour "Shomari Chryzo" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "NENDA UKAPUMZIKE"

Paroles de la chanson NENDA UKAPUMZIKE par Shomari Chryzo

Aaàah Aaah

(David Étienne All Artists)
Tariki 25 ya mwezi wa 5
Mzee Manarha mwenye busara, ametuacha
Atuna mengi yaku sema, pumuzika salama
Atutoweza Ku sahau,mambo uliyo ya fanya
‘'Manarha Kuminga Jean-Chrysostome'' Pumuzika Salama.

(Daniel Radam All Artists)
Ijapokua ume tuache, tuna imani kwamba tutaonana
Kwa Mungu Baba aliye mbinguni, tuna amini kwamba tuta onana
Kwa Yale mazuri uliyo fanya, tuna amini utavikwa taji ya uzima ah ah
Mahali pema nenda Ukapumzike, Papa Manarha nenda Ukapumzike

(All)
Umeondoka tutaku kumbuka (umeondokaa , tutaku kumbuka)
Kwa mazuri, uliyo ya fanya (Kwa mazuri hii)
Umeondoka, tutaku kumbuka ( umeenda baba, myoyo yetu ina umaa)
Kwa mazuri, uliyo ya fanya (kwa mazuri baba) (familia inaliya watu wana liya baba)
Mahali pema nenda Ukapumzike, Papa Manarha nenda Ukapumzike (yee mahali pemaaa)

(Eben Ezer All Artists)
Mukubwa kwa mudogo wewe uliwasaidiya, ulikua kimbilio cha wengi, nakuliya baba, ulitufunza upendo we have seen love through you, we really love you uh, eh baba, eh baba eh pumuzika Salama.

(LeBon All Artists)
Baba yetu Manarha ametuacha
Moyoni tunabaki na machozi
Shuja ameondoka tena
Yupo pamoja na mwokozi.

(LeBon & Daniel Radam)
Kido ni fumbo kwa watu wote, kifo faida kwa mkristu
Twa farijika sisi sote, tutaonana baba yetu.

(All)
Umeondoka tutaku kumbuka (umeondoka, Baba yangu baba ah)
Kwa mazuri, uliyo fanya (iyee iyee)
Umeondoka tutaku kumbuka (tutaonana, babaaa)
Kwa mazuri, uliyo fanya (iyee uko juu, uko juu tutaonana)
Mahali pema nenda Ukapumzike (iyee iyee iyee iyee)
Papa Manarha nenda Ukapumzike (Papa, Baba yangu eehee , aaii)

(Shomari Chryzo)
Nilizaliwa unaniona, ukani komalisha ukanipa na JINA ''Majina''
Nikifunga macho nakuona, roho unani uma
Upole wako hasilia, Mzee mwenye hekima
Papa Mbona kifo Cha Ivo ?
Nikifunga macho nakuona moyo unani uma
Umeondoka watu achia nani ?
Ataongoza familia ni nani ?
Nani mwengine atani ita ''Majina Chryzo'' eeh ?
Eh Baba Mungu ona ata mema, aliyo fanya baba yangu miye
Na Nafsi yake uitunze vema, umu kumbuke
Aaah NENDA Eh, PAPA Manarha NENDA Eh, NENDA Eh
Papa lala Eh, Papa Manarha lala, Eh lala Eh.

(All)
Mahali pema nenda Ukapumzike
PAPA Manarha nenda Ukapumzike
(David Étienne)
Kwa Kweli wana sema kifo ni fumbo kwa watu wote
Lakini kwa sisi wa Kristo kifo ni faida kwa mkristo
Mambo ambayo uliyo Fanya Baba yetu
Ayata weza kutoka katika ya myoyo yetu
Atuna mengi yakusema katika siku ya leo
Basi tunaku takia nenda salama Baba yetu
Ule Mungu uliye fanyizia mema
Na amini ipo siku ataku vika Taji ya Uzima
NENDA SALAMA BABA YETU.

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment