Paroles de la chanson Mama Ntilie par Nuh Mziwanda

Chanson manquante pour "Nuh Mziwanda" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Mama Ntilie"

Paroles de la chanson Mama Ntilie par Nuh Mziwanda

Ashumera, ashumera
Ashumera, ashumera

Mwenzenu koromeo langu limejawa simanzi
Kuitunza siri (Siri yoyoyoyo)
Kulia lia peke yangu (Peke yangu)
Mlazo kwa mkwenzi, kachiri kachiri (Kachiri kachiri)

Kupelekana kwa waganga rumba
Na kumbe unanipa kasumba
Yaani wivu tu

Kila nawe ulifanya pumba
Kwa tangazo Mziwanda kayumba
Yaani wivu tu

Kwani kisa nini (Kisa nini eeh)
Nimefanya nini? (Fanya nini eeh)
Kila siku mimi, niachie na roho yangu

Niache na roho yangu (Nimwage)
Mama nitilie (Nimwage) Nimwage nimwage
Niache na roho yangu (Nimwage)
Mama nitilie (Nimwage) Nimwage nimwage

Niache na roho yangu 
Mama nitilie
Niache na roho yangu 
Mama nitilie

Kama penzi nilikupa
Kanikamata kanikamata eh eh eh
Ukanituliza na pupa
Kumbe limbwata, kumbe limbwata eh eh eh

Kiki twama unakumbuka
Ulikusudia, ulikusudia wewe
Uliyatangaza kwa pupa
Ulipojisikia, ulipojisikia wewe

Kwani kisa nini (Kisa nini eeh)
Nimefanya nini? (Fanya nini eeh)
Kila siku mimi, niachie na roho yangu

Niache na roho yangu (Nimwage)
Mama nitilie (Nimwage) Nimwage nimwage
Niache na roho yangu (Nimwage)
Mama nitilie (Nimwage) Nimwage nimwage

Sawa sina kiganjo
Unanisakama sakama kwa maneno
Kutusi mali kiganjo
Unanisakama sakama kwa maneno

Sawa sina kiganjo
Unanisakama sakama kwa maneno
Kutusi mali kiganjo
Unanisakama sakama kwa maneno

Ashumera, ashumera eyaa
Ashumera, ashumera
Ashumera, ashumera eyaa
Ashumera, ashumera

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment