Paroles de la chanson Kolo par Nini

Chanson manquante pour "Nini" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Kolo"

Paroles de la chanson Kolo par Nini

Hamjui kupenda
Kutwa mwaumiza eeh
Na umenipa donda
Nashindwa uguza eeh
Kama ingekuwa tenda
Ningeshafukuzwa eeh
Ona furaha yangu imegeuka chozi

Ona leo natamani
Ile michezo ya chumbani
Mara sweet mara honey
Kumbe ilikuwa sinema
OOhh jamani
Penzi liko rehani
Nishapoteza na imani
We niache niende eeH

Uliniona kolo (kolo kolo ooh)
Ulikosa kipi ukaniacha solo (solo solo ooh)
Hauridhiki eti mi ndombolo (ya solo solo ooh)
Nigeuke muziki ukanigeuza kiporo (eh eh) kiporo
Wala sitamani (aya wee aya)
Uwenda we sio fungu langu (aya wee aya)
Bora nibaki pekeyangu (aya wee aya)
Uwenda we sio fungulangu (aya wee aya)
Kaa mbali na akili yangu

Yapo mengi ya kukatisha tamaa ah
Nilivumilia ilimradi niwage na wewe Baba aah
Vituko vingi na fujo kara aah
Nilipuuzia ili tu niishi na wewe
Una kisirani
Ndani ya nyumba tafarani
Vurugu katuko vitani unanionea aah
We mwanaume gani hasira Zaidi
Ya shetani acha niweke begi begani
Maana utanuia aah

Uliniona kolo (kolo kolo ooh)
Ulikosa kipi ukaniacha solo (solo solo ooh)
Hauridhiki eti mi ndombolo (ya solo solo ooh)
Nigeuke muziki ukanigeuza kiporo (eh eh) kiporo
Wala sitamani (aya wee aya)
Uwenda we sio fungu langu (aya wee aya)
Bora nibaki pekeyangu (aya wee aya)
Uwenda we sio fungulangu (aya wee aya)
Kaa mbali na akili yangu

Uwenda we sio fungu langu (aya wee aya)
Bora nibaki pekeyangu (aya wee aya)
Uwenda we sio fungulangu (aya wee aya)
Kaa mbali na akili yangu

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment