Paroles de la chanson Wivu par
Aah vimambo vyangu natupa kuleSineng'eneki nikafa bure
Kwako ni mfu msukule
Kwa baby yake piga kelele wee
Mi hali yangu mbona shwari baby wee
Nipo jikoni nasonga ugali
Uje ule baba wee
Roho yangu safi Mungu kanipa ninachotaka
Kwa wakati naenjoy
Sitaki kuwa mswati
Nimeridhika michepuko na mwendo wa kasi bye bye