Aller au contenu principal

Paroles de la chanson Sipiganangi Mwenyewe par Martha Mwaipaja

Paroles de la chanson Sipiganangi Mwenyewe par

Mwenzio sipiganangi mwenyewe
Ninapiganiwa na Baba
Mwenzio Sishindanangi Mwenyewe
Ninashindiwa na Baba
Mwenzio sipiganangi mwenyewe
Ninapiganiwa na Baba

Mwenzio sipiganangi mwenyewe
Mwenzio Sishindanangi Mwenyewe
Mimi Vita sijui 
Mimi Vita siwezi
Asema nitulie atajibu

Kuna majira Vita huja kwangu
Kuna majira watesi waliniukia
Kuna majira nilitaka kupambana mwenyewe
Nikasikia Sauti Sauti imebeba Ushindi wangu 
Ikaniambia Mimi Ni Baba yako

Usipigane mwenyewe mwanangu
Mwenzio sipiganangi mwenyewe
Ninapiganiwa na Baba
Mwenzio Sishindanangi Mwenyewe
Ninashindiwa na Baba
Mwenzio Vita nimekataa 
 

Paroles.net dispose d'un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection du moment