Paroles de la chanson Nakutunza inaruhusiwa par Maarifa

Chanson manquante pour "Maarifa" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Nakutunza inaruhusiwa"

Paroles de la chanson Nakutunza inaruhusiwa par Maarifa

Utachagua sasa
Kukoma au kukomaa
Ba finest mtoto wa Baba (Maarifa)

Aah
Hawaulize habari ni gani
Kwa kuwa tayari wanafaa wahabari ni nani
Habari maarifa, hatari kabisa
Ata muwe muogopevu
Wapo ambao wanaonielewa mpaka hawajielewi

Kuhusu kwazo kibaa na kwazo kitaa nikwambie jamaa
Maisha yazingua sa vitu nichagulie silaha
Kuhusu timamu, mi timamu ila bado hawajajua watu
Hata umvishe gamba mjusi hageuka kuwa chatu

We funga, si wanakufungia, we funga
Ni Mungu tu, atanyoosha we kunja
Niskize genius, alafu nielewe
Shida zaeza kumyeyusha hadi barafu wa moyo

Nimejipanga, mke nitampiga na upande wa kanga
Ukiwa mnafiki inakuhusu upande wa panga
Na wamesanda, ni upande michaa alafu ugande panga
Na hii ni noma ka umechepuka na mke wa mganga

Yes yes yooh
Nakutunza inaruhusiwa
Twende(nakutunza inaruhusiwa)
Yes yes yooh
Nakutunza inaruhusiwa
Sema(nakutunza inaruhusiwa)

Yes yes yooh
Nakutunza inaruhusiwa
Twende(nakutunza inaruhusiwa)
Yes yes yooh
Nakutunza inaruhusiwa
Sema(nakutunza inaruhusiwa)

Ni mchapa kazi mwenye kazi ya kuchapa
Nachapa ila si kila kazi, kuna kazi za kuacha
Si umenipata?(oooh)
Kila kazi utadharauliwa (aha)
So usiye na kazi, kila ukibuy utaparamiwa
Mi ni msafi, pilka za dharau jigamso
Pia ma' pilka michoro vigaso
Nyi nyie hapo shikeni mapembe na mtang'oa ng'ombe
Hamwongei fit , leo mwanaharamu unafunua kombe

Niko vizuri kwa window na mizuri mitindo
Wanawake hawana msaada ka kivuli cha fimbo
Nakaza misuli mashuhuri, si umenipata vizuri
Acha niwazike tu, maana maiti haichagui kaburi

Maa we
Hii ni moto na fikra zake na hii iko moja
Tamu sichana na bikra yake
Wanawake wa sasa wakiamua bila sababu ila watakonda
Wako kama makwapa yaani wananuka bila ya kidonda

Yes yes yooh
Nakutunza inaruhusiwa
Twende(nakutunza inaruhusiwa)
Yes yes yooh
Nakutunza inaruhusiwa
Sema(nakutunza inaruhusiwa)

Yes yes yooh
Nakutunza inaruhusiwa
Twende(nakutunza inaruhusiwa)
Yes yes yooh
Nakutunza inaruhusiwa
(eeh babu we nakutunza inaruhusiwa)

Habari ni hii , kwani nyinyi mlitarajia nini
Mimi nakamata mikwanja pale wanapokamatia chini
Wataniambia nini? Hata wakirudi wakajipange
Mimi nitavuta hela si wameamua wavute bangi

Waleta sepeku mapepe
Wakwachu wa kwetu walete
Wasije sababisha maseke
Ukawakundisha mateke

Wapo wanafahamu hii karibu ukae
Na ili ujue uchungu wa mwana, jaribu uzae
Aibu ukishadharaulika, hauwezi tembea na zana
Masai tembea na rungu
Vicheche tembea na bwana
Ili upate uja uzito alisema songa bwana
Ni mwendo tu
Msiwe mnachonga chonga watu
Wanataka zifanye na wameshindwa kuongelea
Wamevunja daraja na wanashindwa kuogelea
Na ka kuongea
Ongeeni mpaka mtajuta kwetu
Kwani mwizi hapigwi anasemwa anakufa

 

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment