Paroles de la chanson Round 2 par King Kaka

Chanson manquante pour "King Kaka" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Round 2"

Paroles de la chanson Round 2 par King Kaka

[King Kaka]
Walidhani ati tunamalizia Round 1 (we' wacha)
Sit back relax fam (we' wacha)
Niko na Mbithi on this (aye)
Kamba Boy (huh!)
Basi get 'em

[Mbithi]
Yeah
Young Bolo na Mr Rozari za Goro
Right left me nakata nina makali za Zoro
Bado niko kwa stereo tangu nikiwa mono
Wako chekechea bado ile design ya lamba lolo (yeah)
Mistari bado mob ziko kwa wingi ka' za tiger (huh)
Hittin' at the game I'm tryna turn her to my Aida
Utamu ndo inazidi mi' asali never bigiji
Makmende lead singer buda no BGV
Na niko ndani ndani cheki libido
She call me for Mpesa why she needy though
She know I been working like the new guy
'Bout to get the money like Kirubi like Muigai
Humble nigga with the future of a big spender
Small boy I be chasing on the big tender
You've never seen a beat bender
Look how they dancing to the melody, see I be feeling like Magix Enga
Nyunyizia curry powder pandisia lather
Nawa mkono ni mapishi ya kijana toka Tala
Shout out to Nairobi yeah im all about the guala
Wana chuki tukitoka usiwaskize ni mafala
King Kaka kamba boi, kamba boi King Kaka
Chunga vile unabonga kwina mwaki mwinge huu mwaka (ok)
If I was you I would sullenda no mollis
Hii ni ile combi noma ya Blackie na Chuck Norris
Yeah

[King Kaka]
Niko na bars on bars basi bazenga wanalewa
Niko bars on bars bazenga umeelewa?
Mko front page ya Pulse mi' niiko pull out ya Forbes
3rd hand cars, mi' niko first class onBoard
Niko Niko ayeee Niko Trippin majuu
Wao wako wako Ego trippin kaguu
Mi sio mwalimu wa English but Naangalia Comas
Vile naitaka hamtakula Round hii mtaKonda
Nabadilisha lines kama mfungwa kamiti
Napeana muhogo we Peana ka miti
Nilikuwa bado On The move enzi za (Jam nakam)
Sahii Niko back stage wana (Jump nikikam)
Chuki wako nayo Inaonekana iko shida
Bado 'na Keep it real ka Mtoi wa Eko Dydda
Hao tabloids Hawajawahi kuwa right about me
Ata saa zile wanawrite about me
Madem wanamwaga mate wapewe bib wavae
Wasanii wameshindwa kuentertain wape kiti wakae
(I guess) I guess it gets tougher
Mi' ndio mwenye nyumba nyi' ndio nyi' ndio guests hapa
Nawapiga dental, ngumi kumi kwa mdomo
King Presidential Rolex kumi kwa mkono
Drake kwa stereo Geezy na minions
(started from zeros now we millions)
Coming for all of you kwani mtaDo
Wakijificha tunafunua vile Timmy aliDo
Utaona kwa sura zao, alama ni black and blue
Kwa hayo machache tu, mguu Macracthes tu
Mamake aende kwa streets zile za 'my son was the bread winner'
Niwachie ata 10 plus itabuy dinner
Toeni hizo njugu VIP silipwangwi in peanuts
Mi mwenyewe mathare aisee nilishachizi
Nyinyi the last 5 kwa daro vile mna ujinga
Fake sana si muhamie Uchina
Juu tukikutana kuna mmoja atachinjwa
Ata mtoe i kwa pati pati pati hamwezi nipata pata
Mi' ndio nilibadilishwa akili huko Kenyatta

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment