Aller au contenu principal

Paroles de la chanson Kucheza Unajua par

JJ
Shkao
(Ma'aba)
(Good, Good, Goodi, Goodi)

[Zuchu]
Akili sina, mi mwenzako fyatu
Na mzuka ukipanda, mi nacheza peku peku
Ah jamani akili sina, mi mwenzako fyatu
Na mzuka ukipanda, mi nacheza peku peku

[Zuchu]
Cheza huku unaongea
Cheza huku unaongea
Cheza huku unaongea ka' Matua unaongea
Cheza huku unaongea
Cheza huku unaongea
Cheza huku unaongea ka' Matua unaongea

[Zuchu]
Eti mi mwema
Mi sio mwema
Na huo ubinadamu unaosema we mimi sina
Eti mi mwema
Mi sio mwema
Na huo ubinadamu unaosema we mi sina
Pesa haitaki mtu mwoga, hakuna shida
Kama una duku duku we peleka kwa Pipy Tida, tulia

[Zuchu]
Hiyo lini hiyo?
Hiyo leo hiyo
Hiyo lini hiyo?
Hiyo leo hiyo

[Zuchu]
Eti ka' Matua kumbe kucheza unajua
Ka' Matua kumbe kucheza unajua
Ka' Matua kumbe kucheza unajua
Aye ka' Matua kumbe kucheza unajua

[Zuchu]
Basi peleka mkono huko chini fanya kama unajojoa
Najojoa
Mama najojoa
Nyie najojoa
Jamani najojoa

[Zuchu]
Cheza kama umemwona ex wa zamani kwenye show
Cheza kama umemwona ex wa zamani kwenye show
Cheza kama umemwona ex wa zamani kwenye show
Cheza kama umemwona ex wa zamani kwenye show

[Zuchu]
Lazima upagawe
Lazima uchachawe
Lazima upagawe
Lazima uchachawe
Bonge la Zuchu
Eti very wati?
(Very gudi) (Goodi, Goodi)

[DeSmile]
Na dundo liko uwanjani usilete ubishani
Kwa waliocheza mpaka chai wanacheza ka' Matua
Napiga butterfly wasio nijua watajua
Full kujidai cheketua ka' Matua katikati

[DeSmile]
Ka' Matua kumbe kucheza unajua
Ka' Matua kumbe kucheza unajua
Ka' Matua kumbe kucheza unajua
Ka' Matua kumbe kucheza unajua

[DeSmile]
Hasa peleka mkono kwa chini fanya kama unajojoa
Ajojoa
Ajojoa katikati ajojoa
Ajojoa mimi hapa ajojoa
Ajojoa hapa leo ajojoa
Ajojoa

[DeSmile]
Cheza kama umemwona ex wa zamani kwenye show
Cheza kama umemwona ex wa zamani kwenye show
Cheza kama umemwona ex wa zamani kwenye show
Cheza kama umemwona ex wa zamani kwenye show

[DeSmile]
Lazima upagawe
Lazima uchachawe
Lazima upagawe
Lazima upagawe

(Monster like a monster, this is a Good Master)

Paroles.net dispose d'un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection du moment