Paroles de la chanson Issa Vibe par Sauti Sol

Chanson manquante pour "Sauti Sol" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Issa Vibe"

Paroles de la chanson Issa Vibe par Sauti Sol

(Usiogope kutoa wazimu)
(Issa Vibe Issa Party each and every jam session)

(Issa Vibe) Issa Vibe Issa Party 
Each and every jam session 
(Turn around) Turn around back it up 
I wanna see you in rotation 
Juu nimecome kudo kile umecome kudo 
Usiogope kutoa wazimu 
(Issa Vibe) Issa Vibe Isaa Party 
Each and every jam session 

Vile umedunga look at you 
Vibe zimechocha zimecome through 
I've been looking around 
Looking for someone like you 
Won't you come my way 
Juu Kuna wanati wamekuja na mavela 
Na mapinchi wanachunana mahela 
Na kile nataka ni kukatika nawe 
Katika Tena Na Tena 
Na kila mahali kumewaka tu mavela 
Na mapinchi wameshaachafua Meza 
Na kile nataka ni kukatika nawe 
Katika Tena Na Tena 
Oh nisamehe 
What I'm about to do ni kubleki tu 
Nisamehe 
Issa Vibe Issa Vibe Issa Vibe 

(Issa Vibe) Issa Vibe Issa Party 
Each and every jam session 
(Turn around) Turn around back it up 
I wanna see you in rotation 
Juu nimecome kudo kile umecome kudo 
Usiogope kutoa wazimu 
(Issa Vibe) Issa Vibe Isaa Party 
Each and every jam session 

Savara na Kenchez Muya
Waluhya vakhana khuvatuya
Wale wabaya pia we unatambua so
Fuata nyayo step piga hatua
Kama hujui basi leo utajua
Cheza na radar Ka'
Umekibeba Na 
Uslete noma Ka' 
Zimekushika na 
Bonga na Rhoda
Pale kwa kona 
Toto kiboko pia wewe unaona
Anavyozungusha kiuno utakoma
Mr. Selekta usikatisie ngomaaa 
Issa Vibe 

(Issa Vibe) Issa Vibe Issa Party 
Each and every jam session 
(Turn around) Turn around back it up 
I wanna see you in rotation 
Juu nimecome kudo kile umecome kudo 
Usiogope kutoa wazimu 
(Issa Vibe) Issa Vibe Isaa Party 
Each and every jam session 

Mbogi ni ya Rongai
Matatu 125
Warembo hips don't lie
Mbogi ya Kimonyoski
Juu ya Timber na maKhaki 
Mangoto na maNatty
Macookie na Makeki
Makali na majani
Na tunaiwasha katikati 
Ikizima tunaseti
Basi roll ingine freshy 
Chini ya maji tunamedi
And I don't wanna be your boyfriend 
Mi nataka one night stand
Na vile umedunga utafanya mi nispend (Kichwa tu) 
And I don't wanna be your boyfriend 
Mi nataka one night stand
Na vile umedunga utafanya mi nispend 
Oh No No No No Don't you know Issa Vibe 

(Issa Vibe) Issa Vibe Issa Party 
Each and every jam session 
(Turn around) Turn around back it up 
I wanna see you in rotation 
Juu nimecome kudo kile umecome kudo 
Usiogope kutoa wazimu 
(Issa Vibe) Issa Vibe Isaa Party 
Each and every jam session

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment