Paroles de la chanson Noel Song par
Naliona tumaini ni usiku wa furahaKazaliwa mwokozi ni usiku wa furaha
Nuru i kwake kavishinda vyote
Kuzaliwa kwake utukufu kwetu
Noel, Noel, Noel, Noel
Born is the King of Israel!
Nafsi yake inaishi na mwangaza wake
Waangaza duniani utukufu wake
Kwetu ni neema katupenda kweli
Atuwazia mema usiku na mchana
Noel, Noel, Noel, Noel
Born is the King of Israel!