Paroles de la chanson Maajab par Mbosso

Chanson manquante pour "Mbosso" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Maajab"

Paroles de la chanson Maajab par Mbosso

Nah nah nah nah
Nah nah nah nah
Nah nah nah nah

Hii mara kashikilia
Mwache avimbe bichwa
Walahi kanipatia
Anastahili sifa

Chumba kizima chanukia
Uturi kajifisha
Vidole nasimamia
Ukingoni nafikishwa

nanikosha mwili Kwa maji ya madafu
Yeye ndo kocha Na ananifunza kucheza rafu
Anichua tumbo la ngiri Kwa mafuta ya karafu
Nikichoka, ananikanda Kwa kwa mabarafu

Maajab, maajab Penzi lake la ajabu
Maajab, maajab Mahaba yake ya ajabu Maajab,
maajab Penzi lake la ajabu Maajab, maajab
Mahaba yake ya ajabu

Kifuani hunipaka harua
Mikono tende andazi chambua
Anilamba Kitandani humwaga maua
Mengine hata chembe sikua najua Anitoa ushamba

Oooh Na nitake nini kwake Niombe nisipewe?
Iwe pemba mama chake chake Nichague mwenyewe
Kanipa pombe roho yake Ninywe nilewe
Mambo sheghani mwake mwake Mangaka mzewe

Libandike Penzi kama gazeti walisome
Tuwa adabishe Zangara shombo vipetty, tuwangoe
Nikila nilishe Chapati za alizeti ninone
Tuwafungishe Midomo uzi simenti tuwashone

Ananikosha mwili Kwa maji ya madafu
Yeye ndo kocha Na ananifunza kucheza rafu
Anichua tumbo la ngiri Kwa mafuta ya karafu
Nikichoka, ananikanda Kwa kwa mabarafu

Maajab, maajab Penzi lake la ajabu
Maajab, maajab Mahaba yake ya ajabu
Maajab, maajab Penzi lake la ajabu
Maajab, maajab Mahaba yake ya ajabu

Halua halua
Hunipa vitamu laini laini
Halua halua
Kinyama cha hamu, uhondo utosini
Halua halua
Sili kwa kijiko nalishwa kwa ulimi
Halua halua
Napewa hadi vya miiko, sa nitake nini?

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment