Paroles de la chanson Nairobi par Magix Enga

Chanson manquante pour "Magix Enga" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Nairobi"

Paroles de la chanson Nairobi par Magix Enga

Nikifika hii Nairobi mabro sikuwa na doh
Nikifika hii Nairobi mabro sikuwa na ssh
Nikifika hii Nairobi mabro sikuwa form
Nikusaka tu madoh, nikusaka tu madoh

Nikifika hii Nairobi mabro sikuwa na doh
Nikifika hii Nairobi mabro sikuwa na job
Nikifika hii Nairobi mabro sikuwa form
Nikusaka tu madoh, nikusaka tu madoh

Hapa Nairobi hakuna kucheza
Hapa ni kazi ju ni kusaka tu madollar
Hapa ni kazi juu
Kwa imani am a boss now mmmh
Nigga sign my check up here ghost now mmh

Don't mess with me 
Don't me you gon make me mad

Kijana alipiga mihela 
Ikabaki jo ni kusakwa na ngeta
Kijana anaball vinoma 
Free time ni kuchoma mavela

Ye ni youngboss sio mbleina
Kama ni ngoko ni Vera
Moti ka kumi simple 
Ye hucheza na ka Uber

Ye ni Youngboss don
Ye hutoanga maform
Halipi kanjo soo(Zii)
Ye hukuwanga na doh

Ye hupiga madesigner 
Kama ni Ric Ric drip it
Ye huchananga maveve 
Ka si mabati

Nikifika hii Nairobi mabro sikuwa na doh
Nikifika hii Nairobi mabro sikuwa na ssh
Nikifika hii Nairobi mabro sikuwa form
Nikusaka tu madoh, nikusaka tu madoh

Nikifika hii Nairobi mabro sikuwa na doh
Nikifika hii Nairobi mabro sikuwa na job
Nikifika hii Nairobi mabro sikuwa form
Nikusaka tu madoh, nikusaka tu madoh

Hapa Nairobi hakuna kucheza
Hapa ni kazi ju ni kusaka tu madollar
Hapa ni kazi juu
Kwa imani am a boss now mmmh
Nigga sign my check up here ghost now mmh

Don't mess with me 
Don't me you gon make me mad
Don't mess with me 
Don't me you gon make me mad

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)