Paroles de la chanson Waweza par Joel Lwaga

Chanson manquante pour "Joel Lwaga" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Waweza"

Paroles de la chanson Waweza par Joel Lwaga

Aiii wewe waweza Baba
Aiii wewe waweza Baba
Aiii wewe waweza Baba
Aiii wewe waweza Baba

Una nguvu, Yesu una nguvu
Una nguvu, Yesu una nguvu
Una nguvu, Yesu una nguvu
Una nguvu, Yesu una nguvu

Waweza, waweza
Waweza Yesu, waweza Yesu
Weweza, waweza
Waweza Yesu, waweza Yesu

Tumeona matendo yako mema
Tumeona, Baba tumeona
Miujiza umetenda kweli 
Tumeona, Baba tumeona

Baba walio fungwa kweli umewaweka huru
Tumeona, Baba tumeona
Asubuhuhi mchana na jioni Yesu
Tumeona, Baba tumeona
Kweli Baba ni meni tumeona kwa macho
Tumeona, Baba tumeona

Waweza, waweza
Waweza Yesu, waweza Yesu
Weweza, waweza
Waweza Yesu, waweza Yesu

Waweza, waweza
Waweza Yesu, waweza Yesu
Weweza, waweza
Waweza Yesu, waweza Yesu

Tumeona Baba ukitenda mema
Tumeona Baba
Miujiza yako ni mingi kwetu
Tumeona Baba

Tumeona Baba ukitukanda mioyo
Tumeona Baba
Nyakati za magumu ukitufuta machozi
Kweli tumeona Baba

Nyakati za ukiwa umetukumbati
Na kutushika mkono hey
Kweli hatuwezi yote kuelezea
Yale tumeona

Waweza, waweza
Waweza Yesu, waweza Yesu
Weweza, waweza
Waweza Yesu, waweza Yesu

Waweza, waweza
Waweza Yesu, waweza Yesu
Weweza, waweza
Waweza Yesu, waweza Yesu

Aiii wewe waweza Baba
Aiii wewe waweza Baba
Aiii wewe waweza Baba
Aiii wewe waweza Baba

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment