Paroles de la chanson Magufuli par Harmonize

Chanson manquante pour "Harmonize" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Magufuli"

Paroles de la chanson Magufuli par Harmonize

Mmmmh
I wish ningemwona Magufuli
Nipige magoti
Nimpongeze hadharani

Yaani,
Rais wa muungano ya Jamhuri
Mchapakazi hachoki
Anaye pinga nani?

Mmmh,
Ametuvusha vikwazo
Wewe nami
Ona nchi anavyoijenga

Flyover sa tunazo
Daraja kigamboni
Airport imesha jengwa

Acha nikupongeze
Kwa Air Tanzania(Ielewe)
Zidi baba tuongeze
Airbus Bombardier(Ielewe)

Standard gauge tuteleze
Kusafiri unasinzia(Ielewe)
Acheni tu niwaeleze
Magufuli papa nia(Ielewe)

Oooh daddy Magufuli
Cheza nikuone(Kwangwaru)
Wasopenda wabane choo(Kwangwaru)
Magumu acheni(Kwangwaru)

Oooh daddy Magufuli
Asa Cheza nikuone(Kwangwaru)
Jembe toka chato(Kwangwaru)
Magufuli ndo Rais wa wanyonge(Kwangwaru)

Aga, mpole mtu wa dini
Hajachoka tunashukuru
Amesamehe mara sabini
Papi Kocha sa yuko huru

Wa-Tanzania tupewe nini?
Vilokufa yeye kavifufua
Karudisha nidhamu serekalini
Ukileta njanja anatumbua

EEh! Sekta ya madini
Umeme maji kero zimepungua(Asa wee)
Elimu bure vijijini
Watoto shule wanabukua (Asa wee)

Ifikapo elfu mbili na ishirini
Kura yangu chukua(Asa wee)
Asa tufiche ya nini
'Magu' uongozi anaujua(Asa wee)

Dar es Salaam mwendo kasi
Vituo vya afya kila kata(Ielewe)
Machinga tunachapa kazi
Tena huru bila shaka(Ielewe)

Borigi utani ameongeza
Uchumi uweze panda(Ielewe)
Serekali Dodoma inapendeza
Tanzania ya viwanda(Ielewe)

Oooh daddy Magufuli
Cheza nikuone(Kwangwaru)
Wasopenda wabane choo(Kwangwaru)
Magumu acheni(Kwangwaru)

Oooh daddy Magufuli
Asa Cheza nikuone(Kwangwaru)
Jembe toka chato(Kwangwaru)
Magufuli ndo Rais wa wanyonge(Kwangwaru)

Asa wote wa-Tanzania
Tusimame imara(Imara imara)
Yaani wote Tanzania
Imara, Tanzania tusonge mbele

John Pombe Magufuli
Simama imara(Imara imara)
Yaani wote tusonge mbele
Imara, Tanzania tusonge mbele

Oooh mama Samia Suru
Basi simama imara(Imara imara)
Kwa pamoja tusonge mbele
Imara, Tanzania tusonge mbele

Baba Kassim Majaliwa
Simama imara(Imara imara)
Kwa pamoja tusonge mbele
Imara, Tanzania tusonge mbele

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment