Paroles de la chanson Nyara Nyara par Wakadinali

Chanson manquante pour "Wakadinali" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Nyara Nyara"

Paroles de la chanson Nyara Nyara par Wakadinali

Yoh, free hustle man
Free hustle man 
Fvck lockdown 
(Big Beats Afriq) Afvrika!
Wakadinali au sio

Peng ni ayela na gang ilimnyora
Design ya nyara nyara nyara
Mraa tunairun bila haya 
Na gut ni kilalo ya jana

Jokes on you mnatupima
Liars manze hio ni nini mnafanya?
Mavedi walipumua fire Huh!
Exactly niliwadanganya
Warazi walipumua fire Huh!
Exactly niliwadanganya

Peng ni ayela na gang ilimnyora
Design ya nyara nyara nyara
Mavedi walipumua fire Huh!
Exactly niliwadanganya
Warazi walipumua fire Huh!
Exactly niliwadanganya

9 Months unatry kudeliver
Hatukuonei huruma ukuwe unless una mimba
Ngwai East imepeleka vijana wengi Inda
It's high time Kenya ikuwe legal
Ni heri uangushe kinde CBD njoka wako rada 
Ukikojoa watakushika

Mr atleast try jo kubehave
Staki damu imwagikie my lean and T-Shirt
Naskia mnanitafuta huh, mpaka mnanifuata kwa duka
Stepper mi hukanyaga kubwa
Ukikuja sana perhaps utakulwa
Unafaa kujua nani ndo kushuta
Before kunukisha hii mtaa unaweza chuta

Mbepa si hufungia gunga
Hakuna ni Sunday mzae jo amefunga
Mi huflip ka beats za Afvrika
Niliwaachia Hiphop siku hizi man a driller

Mabiz za mpini si hupiga
Kwani si ata judge alipardon killer
Splash splash tukifika 
Itoka inaspark ma opp wanaitika

Trap trap to saa tisa ni mboka
Nilikuwa hapo hio jogoo ikiwika
Nimeona Subri ikinipita
I think kwa hio rounda scene ilipigwa

Bruce iliskika street iliwika
Black alikam akanyambisa
Naskia mi mchafu spitter
Ni ka mi huandika hizo ngoma kwa pipa
Kudus informer though hawakunipata
Nilikuwa na operate na Bipa

Peng ni ayela na gang ilimnyora
Design ya nyara nyara nyara
Mraa tunairun bila haya 
Na gut ni kilalo ya jana

Jokes on you mnatupima
Liars manze hio ni nini mnafanya?
Mavedi walipumua fire Huh!
Exactly niliwadanganya
Warazi walipumua fire Huh!
Exactly niliwadanganya

Peng ni ayela na gang ilimnyora
Design ya nyara nyara nyara
Mavedi walipumua fire Huh!
Exactly niliwadanganya
Warazi walipumua fire Huh!
Exactly niliwadanganya

Kuna venye Covid naitii kitu moja
Daily coro 19 nilinona
Cyber ronging in different location
Wolan tunaiduingi normal

Fake kings nazidi kuwawinda
Ka ulidhani hio ilikuwa mechi gwan 
Hii ndo dimba
Peng ni ayela msupuu
Mans na Domani naishi life bila filters

Sina hadi maarifa
Mi nilidhani shore nilikuwa nabonga naye Insta ni Risper
Nikihama mi huenda na kamba za nguo
I wish ningekuwa KPLC
Arif alikuwa MCA, sai ni MP anarepingi Westy

Sikumeet huyo msichana no no 
Nilidate hio vigina 
Ndoch una manzi mdechu
Ushaimwanika kwa mneti hapana

I was high in school man a driller
Tangu enzi za Insyder
Nina ndoto ya maziwa mrefu
Inaweza lipa debts zote za Mchina

Watch what you are talking kwa pot
Timeline yako ina TikTok
Nina maboyz Kise huko Ngong
Walipanua riko sai wanamanufacture Richot

Peng ni ayela na gang ilimnyora
Design ya nyara nyara nyara
Mraa tunairun bila haya 
Na gut ni kilalo ya jana

Jokes on you mnatupima
Liars manze hio ni nini mnafanya?
Mavedi walipumua fire Huh!
Exactly niliwadanganya
Warazi walipumua fire Huh!
Exactly niliwadanganya

Peng ni ayela na gang ilimnyora
Design ya nyara nyara nyara
Mavedi walipumua fire Huh!
Exactly niliwadanganya
Warazi walipumua fire Huh!
Exactly niliwadanganya

For Real! Heri nitokee siwezi kukutusi Twitter mimi
OCS OCS alisema tupotee na tusiwahi rudi mjini
Wananiita Dangote na mi sijui kwanini
Nyong'inyo zangu zinatee sivui viatu nikiwa kwako mimi

Hii tenje ipotee nishakuwa Hoodini
Sanse atokee hii ngwai haizimwi
Mi sinanga Fee bado najiamini
When you see me better hashtag easy

Deep down they wanna be me
Hii mtaa chini ya maji niko na dini
Rhyme Gym Rong Rende ndani ya building
Combine kila rapper Kenya ndio unimake mimi

Wakiniona ni rizla na ganja
Nikishawachoma girimba narambwa
Mama mboga anachezaga na rada
Alinicall akanishow safisha unasakwa

Ju nina niggaz waliiba na ALBAB
Pandishaga middle finger kwa media na cover
Vijana walikosa riba na rada
Ilikuwaga ni mchana wakikimbiza mambang'a

Sio easy getting this shilling
Me na bro kitchen we be distilling
Yeah I told you if you see me, you see me
I was not there but they gave you the same feeling

Undercover Google u search
Undercover msupa acheze bubu tukif*ck
Ka anakanja crew inakam
Wakiletaga ujanja crew inakam kuburn

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment