Paroles de la chanson Nairobi Parody (Madugugio) par Padi Wubon

Chanson manquante pour "Padi Wubon" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Nairobi Parody (Madugugio)"

Paroles de la chanson Nairobi Parody (Madugugio) par Padi Wubon

Utumizi wa pombe, sijui
Hapa manyanga wamenizingira
But huku si kwangu ni place me hutulia
Kumbe mahunnies wamenikufia
Nimeziuma sana

Vile mpenzi wangu angeniua
Na angeniweka hata ndani ya gunia
I must be drinking nikose fikiria
Umenijenga sana

Madugugio, kile unanipea
Vile unanipea naeza kugotea
I wish ungeongea na nakunywa fare
Sio eti nina care, mogoka sa ndio..

Madugugio, kile unanipea
Vile unanipea naeza kugotea
I wish ungeongea na nakunywa fare
Sio eti nina care, mogoka sa ndio nadai

I need muguka hapa, woiyooo
Chang'aa is gonna kill me 
One of this fine days yawa
Nakula life, what is

Na vile shoi yako kwanza inanukia
Siku ya kwanza vile mtu hujishutia
Kumbe si mi pekee nilinusia
Hiyo shoi ilikataa kwenda

Na mnyonyi yangu nikikujazia
Kutingika usare utanimwagikia
Najua namwaga chini nitarudia
Nitakufulizia sana

Madugugio, kile unanipea
Vile unanipea naeza kugotea
I wish ungeongea na nakunywa fare
Sio eti nina care, mogoka sa ndio..

Madugugio, kile unanipea
Vile unanipea naeza kugotea
I wish ungeongea na nakunywa fare
Sio eti nina care, mogoka sa ndio nadai

Goka, goka na hii Keg
Goka, goka na hii Keg
Goka, goka na hii Keg
Goka, goka na hii Keg

Brain rada hizi madeni blunder
Sai nina 2soo ya matha, hii ni final drink
Nikikupea unipee hii ni ngori mafuta ya taa
Utachomwa unuke bladder

Ushaichota kuro mang'aa 
Na unajichocha sana
Madem madem aish
Wacha nibaki na hizi
Hauna maswali mingi 
We bikira na hauna upuzi
Na hatubishani

Madugugio, kile unanipea
Vile unanipea naeza kugotea
I wish ungeongea na nakunywa fare
Sio eti nina care, mogoka sa ndio..

Madugugio, kile unanipea
Vile unanipea naeza kugotea
I wish ungeongea na nakunywa fare
Sio eti nina care, mogoka sa ndio nadai

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment