Paroles de la chanson Pole par Kusah

Chanson manquante pour "Kusah" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Pole"

Paroles de la chanson Pole par Kusah

Sina makosa, mmh wanionea bure
Ati umepanga kunitoa roho
Na mambo ya dinner yalimkosha akanipenda bure
Ananipa mahaba nilivyo mroho

Sikumchota nilimbeba mazima mazima
Acha akasusu ninazo hata dawa za China
Nilimuomba busu akanivuta nimchimbe kisima
Kisha akaniruhusu nimkposti nimtag na jina kabisa

Na kama inauma nakupa pole
Nakupa pole, nakupa pole, nakupa po
Kama inauma pole
Nakupa pole, nakupa pole, nakupa pole
(Pole we eeh eh)

Sikumfukiza hata dawa upendo karidhia ah
Ooh nakafika nakapa dawa tena ametulia aah
Ulimchukiza kayanawa mapenzi kakimbia ah ah
Vile visa tabia mbaya hataki kurudia ah ah ah

Ulimtia uoga
Ati penzi halitonoga
Kaja hata sikuroga
Kadata na chuma mboga

Sikumchota nilimbeba mazima mazima
Acha akasusu ninazo hata dawa za China
Nilimuomba busu akanivuta nimchimbe kisima
Kisha akaniruhusu nimkposti nimtag na jina kabisa

Na kama inauma nakupa pole
Nakupa pole, nakupa pole, nakupa po
Kama inauma pole
Nakupa pole, nakupa pole, nakupa pole
Nakupa pole (Pole)

Kipya kinyemi naringa
Nichecheme nicheche che
Nakuwa zuzu kabisa 
Nichecheme nicheche che

Katia hamira navimba
Nichecheme nicheche che
Nafanya navimba eeh
Nichecheme nicheche che

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)