Paroles de la chanson Ni Wewe Tu par
Upendezaye kuliko wote kama hu juwi fanya hivi...Mara ya kwanza nilipokuona macho
Zangu zilipupu lakini moyo ukasita hakujuwa
Kama we ni nani
Nafsi yangu ikachomaaah lakini tena ikasemaaah
Malaika anapita malaika anaenda