Paroles de la chanson Fyeka par Ethic

Chanson manquante pour "Ethic" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Fyeka"

Paroles de la chanson Fyeka par Ethic

Mmmh...(mmmh)
Mmmh...(mmmh)
Mmmh...(mmmh)
Patos Music

Aaah, hapa bana ni ma knock-out ka fainali
Na huwanga huwa sibongi ka niko ndani
Mi huwa bubu sana sana ka niko kazi
Tayari wanadai ati me ni mfunny 

Na niko sure jo
Wanafyeka akicheka aah
Fyeka akicheka aah
Fyeka akicheka aah
Fyeka akicheka 
Na hapa bana ni ma...

Chuma, chuma, chuma ilale ndani
Chunguza kajaba chai ikibaki
Nikidunga ndege juu ni khaki
Cheki kina Mercy sisi lucky

Zungusha mahaga lefty righty
Nacheki ma mini leo ni ku dirty
Nimeshika zimerunda ni ku nasty
Kumejaa tu moshi na wanati

Na hapa bana ni ma knock-out ka fainali
Na huwanga huwa sibongi ka niko ndani
Mi huwa bubu sana sana ka niko kazi
Tayari wanadai ati me ni mfunny 

Na niko sure jo
Wanafyeka akicheka aah
Fyeka akicheka aah
Fyeka akicheka aah
Fyeka akicheka 
Na hapa bana ni ma...

Nipate ndani ya ghetto jo, Kenya sihami
Aaah mbby akizungusha mguze ndani kwa ndani
Niko daro nimenyanya ifikie wazazi
Si ati nishapiga chok, stori ya nyaru sitaki

Twende dada, twende dada
Chora saba aah-aah
Twende kaka, twende kaka
Mguze ndani aah-aah
Vile anakatika boss, aah-aah aah
Mguze ikus mmmh aah, aah-aah aah

Na hapa bana ni ma knock-out ka fainali
Na huwanga huwa sibongi ka niko ndani
Mi huwa bubu sana sana ka niko kazi
Tayari wanadai ati me ni mfunny 

Na niko sure jo
Wanafyeka akicheka aah
Fyeka akicheka aah
Fyeka akicheka aah
Fyeka akicheka 
Na hapa bana ni ma...

Fisi ni fisi hadi Samantha anakunyandulia
Mamoshi moshi puff pass me naunguza
Akisleki pongi naingizanga punguza
Na ka ni mtoto wa Matiangi nitachunguza

Niko riet, niko riam
Niko liet, niko diang 
Sukwa tekwa, seswa tokwa
Hakuna uber hii maiar, panda tuktuk
Mwaga vibrate, tega kama tuktuk

Na hapa bana ni ma knock-out ka fainali
Na huwanga huwa sibongi ka niko ndani
Mi huwa bubu sana sana ka niko kazi
Tayari wanadai ati me ni mfunny 

Na niko sure jo
Wanafyeka akicheka aah
Fyeka akicheka aah
Fyeka akicheka aah
Fyeka akicheka 

Na Hapa bana ni ma knock-out ka fainali
Na huwanga huwa sibongi bana ka niko ndani
Mi huwa bubu sana sana ka niko kazi
Tayari wanadai ati me ni mfunny 

Na niko sure jo 
Ati wanafyeka nikicheka aah
Fyeka akicheka aah
Fyeka akicheka aah
Fyeka akicheka 
Na hapa bana ni ma....

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment