Paroles de la chanson Simba par Diamond Platnumz

Chanson manquante pour "Diamond Platnumz" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Simba"

Paroles de la chanson Simba par Diamond Platnumz

Oooh waiteee...
Kumekucha jamaa
Nishafanya yake mnyama
Oooh kumekucha jamaa
Nishafanya ya

Aga waambie simba
Simba kiboko yao
Waambie wekundu wa msimbazi
Simba kiboko yao

Oooh taifa kubwa
Simba kiboko yao
Oooh this is simba 
Simba kiboko yao

Ona Manara anacheza
Anashangilia ushindi umekuja
Moh anaruka ruka 
Anashangilia ushindi umekuja

Yule dada anakata
Anashangilia ushindi umekuja
Wahuni wanaruka ruka
Anashangilia ushindi umekuja

Na tutamfunga yeyote atakaye kaa mbele
Si wanawashwa tutawakuna upele
Chenga na pasi ndio zetu kama mbele
Oooh magoli mashuti kama Pele

Wataweza wapi jamaa? Wakwende zao
Kushindana na mnyama, Wakwende zao
Oooh wataweza wapi jamaa?
Kushindana na msimanzi 

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)