Paroles de la chanson Kolo par Aslay

Chanson manquante pour "Aslay" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Kolo"

Paroles de la chanson Kolo par Aslay

kiuno kizito kama engine ya fuso
hauna lolote kitandani yani upoupo
unashindwa hata kufua vi chupi vyako

unanuka jasho makwapani kama choo cha soko
yani!! nikikutazama wala sikumalizi
unavyojua kupost picha nakueka pozi
yani!! kwenye mitandao umekaa kiwiziwizi
kazi kuchamba wenzio usiyokosa kazi wewe
tena sijutii kukuacha naona kama nimeacha
nyoka. chumba kilikuwa kama kichaka unajistiri
kazi tu kutukanaga mastar wakipost
picha zao ista umenitia aibu ebu tafadhali
hajui kupika nikipika mimi unapost wewe picha
unaniaibisha mpaka chooni unajisnapisha
nimekuvumilia kwakweli nimechoka chumba
Kama jalala hata machizi nashindwangwa kuwaleta
mwanamke gani kolo, kolo kolololoo
unanuka Kama nguru nguru ngurungururu

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment