Paroles de la chanson Wewe Ni Mungu par
Wewe ni Mungu, hakuna kama weweUmetukuka mbinguni na duniani
Unastahili, sifa na heshima
Wewe ni Mungu, mkuu wa vita
Unenapo Bwana, bahari utulia
Yaisikia sauti yako, tena yaitii
Mtuliza mawimbi, Mungu wa ishara
Bwana wa mabwana , nani kama wewe
Alfa Omega, mwanzo tena mwisho
Wewe Jehovah rapha , mponyaji wetu
Shammah Elyona , Jehovah Elshaddai
Mungu mtukufu , wewe wa pekee