Paroles de la chanson R.I.P Magufuli Baba par Abdukiba

Chanson manquante pour "Abdukiba" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "R.I.P Magufuli Baba"

Paroles de la chanson R.I.P Magufuli Baba par Abdukiba

Hey yeah, yea...John Pombe

Eeh Mungu baba wa taifa la leo
Tunayekuabudu umetuachia kilio, lio
Siwezi sema nikisema sana nitakufuru (Mi nitakufuru)
Hata maandiko yanasema we ni zaidi ya nuru

Na unalolipanga hakuna wa kupangua
Yoyote umtakae Baba we unamchukua
Inaniuma sana nikikumbuka babu Magu
Mi nawaza sana nakosa majibu, jibu

Mi nikitazama sana fly over za juu kwa juu
Usemi wa mama rais Magu ana viwango vya juu

Leo hatunaye tena, baba baba, babaa
Rais Magufuli, baba baba baba
Mtetezi wa wanyonge baba baba
Umetuachia kilio, baba baba
Daima tutakukumbuka

Kaza moyo Janet Magufuli nakupa pole
Mama Samia Suluhu
Kaza moyo funga mkanda, ujikaze nganga nganganga
Kupeperusha bendera ya Tanzania

Hivi ni nani atakayeziba pengo la babu
Hivi ni nani ziba pengo sioni
Na dua tunakuombea, pumzika salama 
Na dua tunakuombea, pumzika salama babu
Na dua tunakuombea
Na dua tunakuombea, pumzika salama Magu

Mi nikitazama sana fly over za juu kwa juu
Usemi wa mama rais Magu ana viwango vya juu

Leo hatunaye tena, baba baba, babaa
Rais Magufuli, baba baba baba
Mtetezi wa wanyonge baba baba
Umetuachia kilio, baba baba
Daima tutakukumbuka

Pumzika kwa amani John Joseph Magufuli

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)