Paroles de la chanson Chubuwi Chubuwa par Trio Mio

Chanson manquante pour "Trio Mio" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Chubuwi Chubuwa"

Paroles de la chanson Chubuwi Chubuwa par Trio Mio

Ni mi na machupa zangu
Na shida zangu ni masha yangu aaah
Ni mi na machupa zangu
Na shida zangu ni masha yangu aaah

Na zikikujanga sana
Chubuwi chubuwa, chubuwi chubuwa
Hio mali si ni wet
Chubuwi chubuwa, chubuwi chubuwa

Ni kama tuko maji
Chubuwi chubuwa, chubuwi chubuwa
Chubuwi (Si unajua tu ni nani)
Chubuwi chubuwa, chubuwi chubuwa

Zikikuja sana, zinanipata
Niko handas hadi nabonga kijaka
Manzi akikuja sana mi nampata
Namfyeka hadi nashona kiraka

Chubuwi chubuwa, ako fiti nyakua
Mi napita nayo buda mi staki kujua
Chubuwi chubuwa si tunakara mawaters
Tubleki hadi tuanze kuota

Brikicho, brikicho banture banture
Tingiza madiabz hapa na kule, na kule
Hakuna cha kesho jo ni today today
Ria, ria ria ria

[Maandy]
Kabaya Chubuwi duff mpararo
Niko hapa na kamnyweso
Nikiset si utaskia urao
Looku napiga ni ka label

Ikifika weekendi najua ni Konyagi
Najua ni maHenny location ni bar
Na kama sina penny nawamocho na mbogi
Kaa rada ni safi nachoma vile inafaa

Nitadoz nikidedi, sai nakula hepi
Sai nakula life na mkono kwa sinia
Kwa meza ni makali masponyo fulani
Walai leo natoka nikikuruma

Na zikikujanga sana
Chubuwi chubuwa, chubuwi chubuwa
Hio mali si ni wet
Chubuwi chubuwa, chubuwi chubuwa

Ni kama tuko maji
Chubuwi chubuwa, chubuwi chubuwa
Chubuwi
Chubuwi chubuwa, chubuwi chubuwa

[Trio Mio]
Haka kakitu hakana manual unaninauwo
Nina rungu zinatoshana na za mandauwo
Na kama ibada nazamisha ndani ya nyau bro
Chubuwi mafuriko on the down low

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment