Paroles de la chanson Alright par
Nilicheki form flani kwa portal
Nikasema hii siwezi kosa
Hii sitalalisha siwezi ngoja
Naskia wamedunga mpaka bow tie
Niko tu up and down ka samosa
Ikifika ni kuwatoka mbota
Watajuaje nimekuja mbokta
Watajuaje nitaka kuwaokota
Ah it's alright, it's alright
Nataka kuziwasha but it's alright
It's alright, it's alright
Nataka kuchachisha but it's alright
Ah it's alright, it's alright
Nikasema hii siwezi kosa
Hii sitalalisha siwezi ngoja
Naskia wamedunga mpaka bow tie
Niko tu up and down ka samosa
Ikifika ni kuwatoka mbota
Watajuaje nimekuja mbokta
Watajuaje nitaka kuwaokota
Ah it's alright, it's alright
Nataka kuziwasha but it's alright
It's alright, it's alright
Nataka kuchachisha but it's alright
Ah it's alright, it's alright
Nataka mi nicheat but it's alright
It's alright, it's alright
Anataka only stick but it's alright
Cheza chini cheza chini
Tukapupu tukasusu
Ukiumwa sana baba
Kimbia Pumwani kazae
It's alright, it's alright
Anataka only stick but it's alright
Cheza chini cheza chini
Tukapupu tukasusu
Ukiumwa sana baba
Kimbia Pumwani kazae