Paroles de la chanson Calvary par Tumaini Akilimali

Chanson manquante pour "Tumaini Akilimali" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Calvary"

Paroles de la chanson Calvary par Tumaini Akilimali

Kalivari Kalivari kalivari, yote yalikwisha

Kalivari Kalivari kalivari yote yalikwisha

Kalivari Kalivari yote yalikwisha
(Ulibeba yote)
Kalivari Kalivari yote yalikwisha  

Kwa kupigwa kwako tumekombolewa
Kwa kusulubishwa tumekombolewa
Ulichukua masikitiko yetu
Umejitwika huzuni zetu
Ulijeruhiwa kwa makosa yetu
Kwa kupigwa kwako tuko huru

Kalivari Kalivari kalivari, yote yalikwisha
Kalivari Kalivari kalivari, yote yalikwisha
Kalivari Kalivari kalivari yote yalikwisha

Mizigo yote ulibeba, laana yote ulichukua
Mizigo yote alibeba, laana yote alichukua  
Magonjwa yote kalivari, mateso yote kalivari
Kalivari kalivari, kalivari kalivary

Kalivari Kalivari kalivari, yote yalikwisha
Kalivari Kalivari kalivari, yote yalikwisha
Kalivari Kalivari kalivari yote yalikwisha

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)