Paroles de la chanson Tundura par Sewer Sydaa

Chanson manquante pour "Sewer Sydaa" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Tundura"

Paroles de la chanson Tundura par Sewer Sydaa

Caro alipurura akakula karo
Na akadai tulimtundura
Eastlando kwa hizo ma club
Madingo wasmart wanakunywa kwa chupa
Naskia imekaribia kura
Hawakuunda baro miaka tano
Sai wanaturushia mfupa

Caro alipurura akakula karo
Na akadai tulimtundura
Eastlando kwa hizo ma club
Madingo wasmart wanakunywa kwa chupa
Naskia imekaribia kura
Hawakuunda baro miaka tano
Sai wanaturushia mfupa

Tupate juu ya Chrome 
Inshort tuko in High spirits
Wnakuadore sana mto mpaka wanawish mngekuja wawili
Si ni ma Home Grown ata kwa TV si uona KBC
Kuna siku nimeuliza Alexa ka anajua siri akasema zii

Naona marithe zitakuwa cheap Biden akikalia iyo seat
Ngithe za upigwa key kesho yake unaskia vault iko nill
System si upiga B zabe tunachill na squad ya D
Mandem ivo ndo alijua kuwapin kwa street

Uko na gun na hauna badge aje
Tuko club liquor imerun tuko stranded
Wapi mshande yout wamange 
End month na haijakam watu washandwe

Caro alipurura akakula karo
Na akadai tulimtundura
Eastlando kwa hizo ma club
Madingo wasmart wanakunywa kwa chupa
Naskia imekaribia kura
Hawakuunda baro miaka tano
Sai wanaturushia mfupa

Caro alipurura akakula karo
Na akadai tulimtundura
Eastlando kwa hizo ma club
Madingo wasmart wanakunywa kwa chupa
Naskia imekaribia kura
Hawakuunda baro miaka tano
Sai wanaturushia mfupa

Mode alimwambia ye uwa hashiki kitu ye usjhika tu mkia
Kufika 16 hakuwaishika p2 alishika tu mimba
Amina ye uaminia adi anageuza teacher mjinga
Alianza kutupima akakua politician sai amegeuka killer

Shitstem shistem sai adi lion akipatiwa ganji anadiste
Niite Kite ka uko na key tusanif izo bangi tuive
Ndihe alinchuja kufika mtiecha me upata mndila amefunga
Mndila alifunga kufika mesti nimeiva ndihe akanichuja

Uko na gun na hauna badge aje
Tuko club liquor imerun tuko stranded
Wapi mshande yout wamange 
End month na haijakam watu washandwe

Caro alipurura akakula karo
Na akadai tulimtundura
Eastlando kwa hizo ma club
Madingo wasmart wanakunywa kwa chupa
Naskia imekaribia kura
Hawakuunda baro miaka tano
Sai wanaturushia mfupa

Caro alipurura akakula karo
Na akadai tulimtundura
Eastlando kwa hizo ma club
Madingo wasmart wanakunywa kwa chupa
Naskia imekaribia kura
Hawakuunda baro miaka tano
Sai wanaturushia mfupa

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment