Aller au contenu principal

Paroles de la chanson Mawazo par

Aaah ...oooh.... lalalala
Iwapo angenieka wazi
Kama angenipa nafasi
Japo tukae, tuongee, anieleze

Maana moyo simanzi
Nisije jitia kitanzi
Mambo ya upweke siyawezi
Hanielezi...oooh

Oooh...sijakataa
Ila nitatubu nini na kosa silijui
Nishadataaa, kwake nishadata
Oooh mwambie yeye ndo tausi
Sitaki kunguru weusi
Kutwa na randa

Kwa Majalala 
Aje anitoe mawazooo...(aye aye)
Aje anifute machoziii...(aye aye)
Aje anitoe  mawazooo...(aye aye)
Aje anifute machoziii...(aye aye)

Sina utulivu, 
Aje tabibu, anitoe maumivu
Anavyonfanyia mwana mwenzie sio sawa
Oooh sina mtulivu, 
Aje tabibu anitoe maumivu
Anayonifanyia mwana mwenzie sio sawa

Oooh...sijakataa
Ila nitatubu nini na kosa silijui
Nishadataaa, kwake nishadata
Oooh mwambie yeye ndo tausi
Sitaki kunguru weusi
Kutwa na randa

Kwa Majalala 
Aje anitoe mawazooo...(aye aye)
Aje anifute machoziii...(aye aye)
Aje anitoe  mawazooo...(aye aye)
Aje anifute machoziii...(aye aye)

(Oooh.... lalalala....hey hey)
(Uuuh ... lalalala....)
 
Aje anitoe mawazooo...(aye aye)
Aje anifute machoziii...(aye aye)
Aje anitoe  mawazooo...(aye aye)
Aje anifute machoziii...(aye aye)

Paroles.net dispose d'un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection du moment