Paroles de la chanson Zumbukuku par Barnaba

Chanson manquante pour "Barnaba" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Zumbukuku"

Paroles de la chanson Zumbukuku par Barnaba

Kwako wacha niwe mfungwa
Nimeshakubali kuwa mateka
Si nishapendana

Sijali maneno
Wakisema mchana kutwa
Jua likizama
Watavisaka vitanda

Wanachongachonga utadhani wamekula yasmini
Maneno yao kero utadhani mwarobaini
Wanachonyota wanakera utadhani nini
Wao hawana shughuli, shughuli midomoni

Penzi langu napalilia
Kisha namwagilia
Natia mbolea ili penzi liweze kua
Na likikua kisha navuna (Navuna)
Najisosomoa (Najisosomoa)
Mi si ndo bwana shamba
Siri ya shamba ndo naijua

Aki zumbukuku, nimekubali zumbukuku
Mie zumbukuku wako my love
Aki zumbukuku wananiita zumbukuku
Eti zumbukuku mie wako my love

Kibarua changu manati
Kuna muda narudi sipati
Anakaanga chapati
Imetoka iyoo

Mapenzi uchizi, bwana ukipenda
Kuna muda hata uchomwe na mwiba, maumivu husikiii
Na nikiwa nayeye, sitamani kula
Najiona tajiri kama namiliki benki kuu

Wanachongachonga utadhani wamekula yasmini
Maneno yao kero utadhani mwarobaini
Wanachonyota wanakera utadhani nini
Wao hawana shughuli, shughuli midomoni

Penzi langu napalilia
Kisha namwagilia
Natia mbolea ili penzi liweze kua
Likikua kisha navuna (Navuna)
Najisosomoa (Najisosomoa)
Mi si ndo bwana shamba
Siri ya shamba ndo naijua

Aki zumbukuku, nimekubali zumbukuku
Mie zumbukuku wako my love
Aki zumbukuku wananiita zumbukuku
Eti zumbukuku mie wako my love

Aah aah aah, eeh eeh eeh
Oooh ooh ooh jamani mwenzenu

(Kwa mix Lizer)

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment