Paroles de la chanson Sikuachi Tena par Zabron Singers

Chanson manquante pour "Zabron Singers" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Sikuachi Tena"

Paroles de la chanson Sikuachi Tena par Zabron Singers

Tunaishi kwa nguvu za Mungu
Yeye ndo katuweka hapa 
Kila hatua tunapitia ye ndiye mlinzi wetu 
Asubuhi ifikapo hujua siku itaenda vipi 
Je ntavuka salama mchana jioni hata usiku 

Kwa dakika sekunde hujua siku itaenda vipi 
Kupata na kukosa ajua mimi nitapata nini 
Kulala kuamka ajua mimi nitaamka vipi 
Maisha yetu yote Mungu ndiye anazo siri zetu 

Wewe ni Mungu wangu sikuachi tena 
Mimi kuwepo leo ni rehema zako zaniwezesha 
Sina haki mimi kujisifu tena 
Kwani bila wewe hakika mimi singekuwa hivi 

Mwanga wangu wa njia na nyota katika maisha yangu
Ye ni Mungu wa nuru ushindi hata vitu vyote vyake 
Upatacho shukuru ni Mungu ndiye kakuweka hapo 
Usisahau kumtumikia bado ungali hai 

Kumbuka kuna siku utadaiwa kwa matendo yako 
Iweje jema kwa baya watu umewatenda vipi 
Je wazitumiaje baraka ulizopewa na Mungu 
Suluhisho pekee ni Mungu tumpe maisha yetu 

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment