Paroles de la chanson Sijalewa par Nay Wa Mitego

Chanson manquante pour "Nay Wa Mitego" ? Proposer les paroles
Proposer une correction des paroles de "Sijalewa"

Paroles de la chanson Sijalewa par Nay Wa Mitego

Sijalewa
Sijalewa
Sijalewa
Sijalewa

Nataka tusahau shida 
Waiter please lete pombe(tupombeke)
Watembezee na wana
Tuwe high sio kinyonge(tupombeke)

Zikivunjwa glass
Tumekuja na vikombe(tupombeke)
Na kama unakunywa
Kunywa kweli usionje(tupombeke)

Ila wengi wakilewa huwa zinashuka chini
Kwangu mimi zinafanya najiamini(ngumi)
Kamwili kadogo najioa kama Tyson
Hujui kucheza unajikuta Michael Jackson

Vichwa panzi bia mbili tayari ashawaka 
Anawaza guest kwenye vichaka
Hakuna pombe za bure bwana, kipo wanachota
We kunywa tu watakubaka

Sijalewa
Sijalewa
Sijalewa
Sijalewa

Sijalewa
Sijalewa
Sijalewa
Sijalewa

Pombe ni pombe, steam zinafanana
Hatuchagui kiwanda tunachanganya
We ni ng'ombe nani aliyekudanganya
Kula pombe bila kula unapunguza njaa

Ona akilewa anatapika(pombe hiyo)
Anatoa siri za ndani(pombe hiyo)
Kila wimbo anakatika(pombe hiyo)
Anakojoa hadharani(pombe hiyo)

Vichwa panzi bia mbili tayari ashawaka 
Anawaza guest kwenye vichaka
Hakuna pombe za bure bwana, kipo wanachota
We kunywa tu watakubaka

Sijalewa
Sijalewa
Sijalewa
Sijalewa

Sijalewa
Sijalewa
Sijalewa
Sijalewa

We jikute boss tunamwaga mahela
Wakati wengine wakilewa wanazingua masela
Amaze call me bros and me thinking no hela
Ata ukinifukuza ...woiyoo

Kunyweni pombe
Tunywe pombe masela
Kunyeweni pombe masela(masela)

Kunyweni pombe
Tunywe pombe masela
Kunyeweni pombe masela(masela)

Ona akilewa anatapika(pombe hiyo)
Anatoa siri za ndani(pombe hiyo)
Kila wimbo anakatika(pombe hiyo)
Anakojoa hadharani(pombe hiyo)

Free Nation
The Mix Killer

Paroles.net dispose d’un accord de licence de paroles de chansons avec la Société des Editeurs et Auteurs de Musique (SEAM)

Sélection des chansons du moment